Kufuatia mauaji ya kutisha Mkoani Mara katika siku za hivi karibuni ,je huoni kuwa ni wakati muafaka wa kumbadilisha kamanda wa polisi mkoa wa Mara?.
Kwa mfano mzuri ni kamanda wako mchapakazi wa mkoa wa Mbeya ACP Diwani Athumani. akiwa kamanda wa polisi mkoani Shinyanga aliliwezesha jeshi la polisi kukamata majambazi pamoja na bunduki moja kati ya zilizokuwa zimeporwa katika kituo cha polisi na majambazi hao. Si hivyo tu bali utulivu na amani vilirejeshwa na kamanda huyohuyo, sasa basi tunaomba hekima na busara na hekima ulizozitumia hapo mwanzo uzitumie kwa wakazi wa mkoa wa Mara na vitongoji vyake manake AMANI IMETOWEKA.
Posted by: Gimasa Ruyembe
Home »
» BARUA YA WAZI KWA IGP-MWEMA
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !