DIAMOND KWENYE Interview YA X-LIVE JANA KUHUSIANA NA USIKU WA WASAFI 1/1/2013 MAISHA CLUB....
 |
Kwa mara ya kwanza jana kipindi cha X-Live kinachoendeshwa na mwanadada Peniel wa Dtv.... Kiliruka hewani na President nilipata nafasi yakualikwa katika kipindi hicho na nilijiskia furaha kuwa msanii wa kwanza kufanyiwa Interview katika kipindi hicho cha X-Live... Tulizungumza mengi ikiwemo Video zangu zote mbili Nataka Kulewa na Kesho ila kubwa kuliko ni Show ya Wasafi itakayofanyika pale New Maisha Club siku ya Tareh 1/1/2013 USIKOSE |
|
 |
& Romy J |
 |
& Quick Rocka |
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !