Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu
Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la
kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape
lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda
Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii. kwa
habari hisani ya bongoclan blog
habari hisani ya bongoclan blog
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !