Mchezaji
kiwango wa Timu ya Taifa na Simba afumwa akijidunga pombe kali
inayohifadhiwa kwenye mifuko ya Nailon aina ya Konyagi maarufu kama
VIROBA.
Kwa
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matumizi makubwa sana ya kinyaji hiki
kwa wakubwa na wadogo hasa Wanafunzi, wapiga debe na wamachinga kwa
madai ya kwamba hali ya uchumi imekuwa ngumu kwa hiyo inawalazimu
kutumia viroba ili walanduke mapema kwa gharama nafuu.
Hii
imekuwa ajabu na kumuona mchezaji wa timu ya Taifa naye akiwa anatumia
kinywaji hiki, Watanzania tutegemee nini uwanjani kama mchezaji
tunayemtegemea anagonga VIROBAAA
Habari kwa hisani ya dj Seki blogspot.com
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !