Headlines News :

Powered by Blogger.

Tangaza habari, matangazo na the geeb blog

unasubili nini changamkia offer kwa kutangaza na the geeb blog
Home » , » Ni muhimu kutunza siri za mapenzi kwa wapendanao.

Ni muhimu kutunza siri za mapenzi kwa wapendanao.

Written By Gimasa Ruyembe on Saturday, March 2, 2013 | 12:50 AM


Katika mahusiano ya kimapenzi ni lazima pawepo na siri baina ya wapendanao ili kuweza kulinda penzi lao lisipate hujuma kutoka nje, penzi ambalo halina siri yaani kila kinachofanyika ndani ya penzi lenu kinawekwa bayana kwa watu wengine basi hilo penzi haliwezi kudumu, kwani inakuwa rahisi mno watu kuwagombanisha, ogopa sana kuwa na mpenzi ambaye ni mpayukaji  kwani kila mtakalokuwa mnalifanya yeye atawaambia marafiki zake.

  katika kuwaambia marafiki wapo ambao watampa ushauri mzuri na wengine watampoteza kwa kumpa ushauri ambao hauna maana wala haujengi nakwahiyo utabomoa penzi lenu na kibaya zaidi kutoa siri za mapenzi ni kujiaibisha kwani mnawafanya watu wajue kila kitu kinachowahusu.NI VIZURI KUTUNZA SIRI KATIKA MAPENZI ILI KUWA NA UHUSIANO IMARA  VINGINEVYO UNAWEZA KUHATARISHA PENZI ULILONALO.
                                                    By the geebtz blospot.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Proudly powered by The Geebtz
Copyright © 2013. the geeb - All Rights Reserved
Original Design by The Geeb