Written By Gimasa Ruyembe on Tuesday, January 22, 2013 | 12:47 PM
Hivi tunavyoongea kuna purukushani ama vurugu inayoondelea kati ya polisi na waendesha BODABODA, risasi, mabomu vinaendelea kusikika katika eneo la Makongoro mission katika jiji la samaki-MWANZA
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !